Lengo la makubaliano hayo ni kuimarisha uhusiano na kufungua njia kwa ushirikiano wa kina zaidi katika nyanja za kitaaluma na kiutamaduni.

29 Mei 2025 - 13:42

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Baraza la Utamaduni la Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jijini Nairobi kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha St. Paul mnamo tarehe 28 Mei 2025 walitia saini rasmi Makubaliano ya Ushirikiano wa Kiutamaduni.

Iran na Chuo Kikuu cha St. Paul Nchini Kenya Watia Saini Makubaliano ya Ushirikiano wa Kiutamaduni + Picha

Hafla hiyo ilihudhuriwa na Dkt. Ali Pourmarjan, mshauri wa masuala ya utamaduni wa Iran, pamoja na Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha St. Paul, Mchungaji Canon Profesa James Kombo. 

Lengo la makubaliano hayo ni kuimarisha uhusiano na kufungua njia kwa ushirikiano wa kina zaidi katika nyanja za kitaaluma na kiutamaduni.

Iran na Chuo Kikuu cha St. Paul Nchini Kenya Watia Saini Makubaliano ya Ushirikiano wa Kiutamaduni + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha